Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,441
- 1,645
Katika uchumi Mama/ Baba lishe (Mama ntilie) wanashindana na Hotel na Migahawa pasipo kuumizana wala kujuana.Usidanganyike. Katafute kwanza taarifa za makampuni ambayo yapo sokoni
Mashine inatumika kupakia tu tumbaku kwenye kitobo ambacho baadae inageuka kuwa sigara kamili. Unaweza paki sigara kwa mikono japo inakuchukulia muda.Wazo Zuri ,,, lakn mkuu umeelezea juu juu Sana ,,, hujaweka ABC zote , unatengenezaje, pia hio mashine unapataje au unaunda vp ! Weka hata picha ikiwezekana !
Thanks for sharing
Safi sana ushauri mzuri ila Naiona kes ya uhujumu uchumi
rightining au Lightining ? Hii ya L ndo naijua mkuu si unajua lugha za wenzetu heruf tu inabadil maana
rightining au Lightining ? Hii ya L ndo naijua mkuu si unajua lugha za wenzetu heruf tu inabadil maana