The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,145
- 8,029
Nipo dar es salaamUpo mkoa ganiiii
Asante sanaPole Danny
Dah ikiwa hivyo itatusaidia sana sisi wenye uwezo mdogo, maana hiyo 60000 mbona majangaNakumbuka jana kwny taarifa ya habari Itv walisema huduma hiyo itatolewa bure kwa sasa ktk hospital za serikali kwa dsm ikiwemo Amana,mwananyamala,mnazi mmoja ,muhimbili na zingine sizikumbuki maana ugonjwa huu unaenea kwa kasi sn
Nipo dar es salaam
Aisee polen. 60000 parefuuMimi Nakupa Ushuhuda Nimempeleka Mtu Regency Hospital Jumatano Kumpima Mtoto Umri Miaka Saba
Gharama Ya Kipimo Tshs 60000/-
Kwasasa Huo Ugonjwa Una Kasi Sana Na
Alichoambiwa Pale Huyo Ndugu Yangu Baada Ya Vipimo Ni Kuwa Mtoto Apewe.
Paracetamol (Panadol)
Kwa Siku Anywe Litre Mbili Za Maji Ya Kunywa Ama Mchanganyiko Wa Lita Moja Juice Na Maji
Asante yan nina maumivu ya kichwa na viungo na kuna vipele vidogo vidogo kwenye mikono. Nataka nicheki kwanza huu maana nikianza kupima vinginePole mkuu. Likey unaweza kuwa na huo ugunjwa. Lakini chek magonjwa ya kawaida kama Malaria, UTI, homa ya ini na mengine yenye Dalili sawa na Dengue.
Sorry again Mr.
Ok asante, hapo nafuu20,000 govt hospital
Asante yan nina maumivu ya kichwa na viungo na kuna vipele vidogo vidogo kwenye mikono. Nataka nicheki kwanza huu maana nikianza kupima vingine
Kweli maana wengi hatuna uwezo wa kulipia 60000. Lakin nimeona wengine wanalazwa kabisa kama babu tale. Sasa unapiga mahesabu ya kulazwa ni hela nyingi. Bora watuwekee bure kwenye upimajiInabidi serikali ifanye bure ili kuokoa maisha yetu na hospital za private waweke hivyo vipimo kwa bei ya chini pia bima zitumike kwny matibabu ya dengue suala la kusema bima hazihusiki kwa ajili ya huu ugonjwa ni uonevu
Pesa Ndefu SanaAisee polen. 60000 parefuu