Gharama za ujenzi zipo juu sana

Gharama za ujenzi zipo juu sana

Vilishuzwa chini ya bei hizo still leo tuna wazee bado ni wapangaji
2007 cement ilikua 10,000
Maisha ya kupanga na kujenga ni bora ya kupanga mzee!!!

Yaani mie nichukue hela yangu nikanunue michanga badala ya kuiwekeza kwenye biashara? Never
bongo labda uwe na kampuni biashara hamna kitu fanya research wenye madeni wengi ni wafanya biashara
 
2007 cement ilikua 10,000

bongo labda uwe na kampuni biashara hamna kitu fanya research wenye madeni wengi ni wafanya biashara
Mkapa anaachia nchi 2005 aliicha ikiwa Tsh 3,500/4,000/= bati jeupe gauge 30 Tsh 3,500/=.

In short vitu kuwa bei rahisi wakati uliopita haimaanishi ilikuwa muda rahisi wa kila mmoja kujenga that's why kuna wakati utafika jamii itakuwa inatushangaa tunaonunua leo cement Tsh 16,000/= wakati huo wao wanainunua Tsh 30,000/=
 
Tatizo kizimkazi anachojua ni kurembua macho tu.mambo ya uchumi hayamuhusu kabisa.
Sema wewe ndio una maisha magumu au uchumi unakusumbua kuna watu wanaendelea kushusha mijengo kwa uchumi huu tulionao ujenzi ni akili yako,kujibana na kuamua kila kitu tutalaumu tu Kizimkazi kizimkazi amka pambana maisha yenyewe mafupi
 
Un

Nitajenga siku kizimkazi ametoka madarakani
 
Gharama za steel duniani kote zinapanda, usitegemee Nondo na bati kushuka,
GHarama za mitambo ya viwandani zinapanda so usitegemee Cement kuwa chini
 
Rudi na haya mawazo ukiwa na miaka 45
Nitakua millionaire(utake, usitake) hivyo nitakua nahama kutoka full furnished apartment moja kwenda nyingine. (Wakati huo wewe uko kwenye nyumba yako uliyojenga huwezi hata kuhama sababu unaimiliki, imagine maisha yako yoote uishi kwenye nyumba moja , mpaka fasheni inapita wewe umo tu)

Wakati wewe unatoa milion tatu kwenda kununua kiwanja chako mabwepande ndani ndani, mimi nitaichukua hiyo million tatu nikaongeze mtaji katika biashara yangu.

Wakati wewe unawalipa mafundi na kuleta trip za mchanga(let say utatumia mil 2)

Mimi hiyo m2 nitaongeza mtaji kwenye biashara yangu, wakati huo biashara itakua na mtaji wa M5 za ziada ila wewe kwako umejaza vifusi na michanga kwenye eneo la wazi probably ukijinyima kula ili ujibane upate hela uanze ujenzi mimi nikitaka kwenda samaki samaki naenda, nainjoi mpaka asubuhi.

Broo ni mengi sana aseeee!!!

Najua utasema kwenye biashara kuna hasara lakini hata kwenye ujenzi kuna hasara vile vile, unaeza kuuziwa kiwanja chenye mgogoro

Mpaka wewe unamaliza nyumba na mie business itakua imeshamiri, hata ikitokea niamue kubadili mawazo na kujenga, nitakua na uwezo wa kununua kiwanja hata mbweni na nikajenga nyumba standard kwa sababu nina backup ya strong business
 
Haya maneno huwa unaweza kutype tu nyuma ya keybord wala haina shida njoo kwenye uhalisia ss 😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom