Uongo mbaya,nime download nimepitia ila hakuna ninachoelewa, halafu , naomba unisaidie kitu kimoja kwenye barua ya uhamisho jina limeandikwa kimakosa ,lahma badala ya rahma,cha ajabu nakwena halmashauri wananiambia hizo ni herufi tu hazina shida ,usijali,je kwa uelewa wenu haita niletea shida???Pitia standing order
waambie wakubadilishie,pili gharama Hr ndiyo anapiga hiyo hesabu hakuna specific amount ila sheria imetoa wajibu wa muajiri kutoa gharama za usafiri tu.Uongo mbaya,nime download nimepitia ila hakuna ninachoelewa, halafu , naomba unisaidie kitu kimoja kwenye barua ya uhamisho jina limeandikwa kimakosa ,lahma badala ya rahma,cha ajabu nakwena halmashauri wananiambia hizo ni herufi tu hazina shida ,usijali,je kwa uelewa wenu haita niletea shida???