unajua wa Africa ata brack American ni watu wa matanuzi hawana Baget mfano mimi nimeish Japan wajep hutumia gari weekend tu tena kwenda Supermarket au sam hotel kwa chakula na family siku hiyo watu wengi wanapanda Tren au Town bus Kwenda kazini na huko mwisho akishuka atapanda Baisker mpaka kazini ndio maana hata magari yakija Africa yanaonekana bado mapya na KLM. pungufu lakini ina umri wa miaka 10.zaidi ya miaka 10 Japan haifai kuwepo mtaani tena ikija kwetu hapa mwaka gari haina Thamani imechoka sababu kila kona uonekane hatujari matumizi wala ghalama ya SIKU kiasigani unatumia......mapaka gari za police hapa zina zurura Ovyo...inatakiwa kila gari 10 za police 1 ndio inazunguka kingine zinabaki Point tu hapo hata mwizi hatambi kira Cona itatoka gari au Pikipiki NK.