rhoda ryoba
Member
- Apr 19, 2016
- 88
- 168
haya mambo yanakua wazi nchi za wazungu, sio kwa waafilikaHabari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
Sio anyongwe bila kusikilizwa, maahirisho yapunguzwe kesi ziwe na muda maalum, mwezi mmoja uwepo ushahidi, utetezi na hukumu zitoke mapemaKwahiyo unataka anyongwe bila kupewa muda wa kujitetea? Kama ni hivyo ni wazo zuri pia serekali irekebishe
MSITAKE HURUMA WACHA AENDELEE NA KESI HADI IISHE MSIOYTAKE HURUMA HAAHabari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
Kesi zinazosikilizwa ni nyingi sana magereza yamejaa wahalifu kwahiyo kwa kesi kama ya Lissu haiwezi kusikilizwa mwezi mmoja tu, na inahairishwa na kupangiwa tarehe zingine ili watuhumiwa wengine wapate haki ya kusikilizwa pia, kesi za ubakaji za kina Pdidy tu hazisikilizwi kwa mwezi mmoja ndo ije kuwa kesi ya uhaini?Sio anyongwe bila kusikilizwa, maahirisho yapunguzwe kesi ziwe na muda maalum, mwezi mmoja uwepo ushahidi, utetezi na hukumu zitoke mapema
Sasa kama yeye mwenyewe ameshajikana na kujitwishwa msalaba wewe Chawa ni nani hadi umhurumie? πΌMSITAKE HURUMA WACHA AENDELEE NA KESI HADI IISHE MSIOYTAKE HURUMA HAA
Asiponyongwa atakua amedhulumiwa haki yake kisheriaBahati mbaya hatanyingwa ewe mla mavi
Nani amekuambia kashtakiwa kwa Uhaini?Kesi zinazosikilizwa ni nyingi sana magereza yamejaa wahalifu kwahiyo kwa kesi kama ya Lissu haiwezi kusikilizwa mwezi mmoja tu, na inahairishwa na kupangiwa tarehe zingine ili watuhumiwa wengine wapate haki ya kusikilizwa pia, kesi za ubakaji za kina Pdidy tu hazisikilizwi kwa mwezi mmoja ndo ije kuwa kesi ya uhaini?
Habari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
Kashtakiwa kwa kesi gani mwanasheria?Nani amekuambia kashtakiwa kwa Uhaini?
Hivi nyie vitoto Uhaini mnaujua lakini? π
DPP hajaamua aina ya kesi ndio sababu yuko Kisutu πKashtakiwa kwa kesi gani mwanasheria?
Wahusika wanasema hawajafungua kesi ya uhaini. Punguza kamdomo.Kesi zinazosikilizwa ni nyingi sana magereza yamejaa wahalifu kwahiyo kwa kesi kama ya Lissu haiwezi kusikilizwa mwezi mmoja tu, na inahairishwa na kupangiwa tarehe zingine ili watuhumiwa wengine wapate haki ya kusikilizwa pia, kesi za ubakaji za kina Pdidy tu hazisikilizwi kwa mwezi mmoja ndo ije kuwa kesi ya uhaini?
NO REFORMS, NO ELECTION.Habari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
Wamefungua kesi gani Mrs kamdomoWahusika wanasema hawajafungua kesi ya uhaini. Punguza kamdomo.
Wamefungua kesi gani Mrs kamdomo
Kwanini hapewi dhamana kama hajaamua aina ya kesi?DPP hajaamua aina ya kesi ndio sababu yuko Kisutu π
Usibishane na wapumbavu mkuu. Hapo walishawekewa hadi mabando ya kuwatoa watu kwenye focus na kujadili ujinga waoNani amekuambia kashtakiwa kwa Uhaini?
Hivi nyie vitoto Uhaini mnaujua lakini? π