Gharama za Open University of Tanzania

Gharama za Open University of Tanzania

RAJAB MPELLA

Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
19
Reaction score
10
Napenda nifahamishwe kwa wenye uelewa gharama za masomo kwa Open University of Tanzania zipoje kwa shahada na masters mwenye uelewa atoe info
 
Inaweza ikawa vigumu sana kupata jibu hapa. Ingia kwenye mtandao wa open university of Tanzania wana kitu kinaitwa fee structure kitafute pamoja na prospectus yao utapata taarifa kamili.
 
Open university ni ngumu sana kusema moja kwa moja ada ni shilingi ngapi kwasababu wao wanalipa kwa uniti...kila somo lina unit zake sasa ili ujue gharama halisi unakuta inabidi ujue utasoma unit ngapi na kwa degree kila unit moja ni 60000 na masomo mengine yana unit hadi mbili kwahiyo wafuate wenyewe wakuelekeze zaidi
 
Open university ni ngumu sana kusema moja kwa moja ada ni shilingi api kwasababu wao wanalipa kwa uniti...kila somo lina unit zake sasa ili ujue gharama halisi unakuta inabidi ujue utasoma unit ngapi na kwa degree kila unit moja ni 60000 na masomo mengine yana unit hadi mbili kwahiyo wafuate wenyewe wakuelekeze zaidi

Pinduapindua.
 
OUT.
Mie na uvivu wangu ukininambia nisome huko, sijui kama nitafikia lengo. Mie nikitaka shule inoge hadi niweke kambi kabisa.
 
Napenda nifahamishwe kwa wenye uelewa gharama za masomo kwa Open University of Tanzania zipoje kwa shahada na masters mwenye uelewa atoe info
Kwa shahada ni 60,000 kwa unit na ili umalize minimum requirement kwa mujibu wa TCU ni unit 32
So unapiga 32 mara 60,000 unapata ada yako kwa miaka 3.

Kwa Masters ada ni 180,000 kwa unit.
Minimum requirement kwa mujibu wa TCU ili ugarduate ni unit 18.
Unapiga 18 × 180,000 unapata gharama zako za tuition fee kwa 2 years.
 
Aiseeee hii masters inanihusu naona kwa unit 18 inanibidi niwe na mil. 3.24 ambapo na mambo mengine inaweza fika 5Mil.

Mzee kama una experience na hii kitu naomba namba yako DM nikupigie
 
Back
Top Bottom