Gharama za Maji Dawasa

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,604
Habari JFs, mwenye kuelewa gharama za maji ya Dawasa anijuze tafadhari, na vile vile ningependa kujua wanabase kwenye nini kuchaji hizo gharama kwa sababu mi ndio nimepata bomba na nimetumia mwezi mmoja na gharama nilizopewa naona ni kubwa ukilinganisha na mita inavyosoma.

Msaada tafadhalini.
 
Back
Top Bottom