kangau JF-Expert Member Jan 7, 2016 258 257 Jan 8, 2016 #1 Gharama za kuweka tangazo kwenye digita Billboard Dar na gharama za kurusha tangazo kwenye TV, tangazo lisilo zidi sekunde 30. Last edited by a moderator: Jan 8, 2016
Gharama za kuweka tangazo kwenye digita Billboard Dar na gharama za kurusha tangazo kwenye TV, tangazo lisilo zidi sekunde 30.
Borat69 JF-Expert Member Jun 17, 2012 2,522 1,757 Jan 8, 2016 #2 Hujaeleweka Kama unauliza Swali au unatupa habari!!!!
kangau JF-Expert Member Jan 7, 2016 258 257 Jan 8, 2016 Thread starter #3 swali hilo, mpaka uwekewe ulizo?
Borat69 JF-Expert Member Jun 17, 2012 2,522 1,757 Jan 8, 2016 #4 kangau said: swali hilo, mpaka uwekewe ulizo? Click to expand... Kwani hizo alama zimewekwa kwa sababu gani!????? Ubanizi mpaka kwenye mambo yasiyo na tija.
kangau said: swali hilo, mpaka uwekewe ulizo? Click to expand... Kwani hizo alama zimewekwa kwa sababu gani!????? Ubanizi mpaka kwenye mambo yasiyo na tija.
kangau JF-Expert Member Jan 7, 2016 258 257 Jan 8, 2016 Thread starter #5 sawa babu..nipe data hizo kama unazo....