Gharama za kutoa pesa ka

Gharama za kutoa pesa ka

Chendembe

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
458
Reaction score
500
Nimekuwa nafuatilia Gharama zinazotozwa kila nitoapo pesa katika ATM za NMB Pamoja na Gharama nyinginezo Kama zile za mwezi au mwaka. Nimeona Kuna maumivu makubwa saaana. Naona tunatozwa service charges katika akaunti moja maranyingi na kubwa mno. Kutoa pesa ATM chini ya laki tunatozwa 5400. Hii Ni zaidi ya mitandao ya simu. Tuliangalie hili.
 
sisi tusiokuwa na hela bank tuendelee kutoa ushuhuda
 
Hata kwa mawakala hawakati hiyo pesa aisee
 
Msimbeze mtoa mada kwa sasa mabank yanatapa tapa baada ya mchezo mchafu uliojitokeza wa kuvamia acc za watu na kuchota hela au watu kuitwa kutoa maelezo juu ya hela zao.KUFREEZE,WAZEE WA TRA kuvamia accounts zao umepelekea watu kutorosha hela zao kwenda nje ya nchi na wengine kuficha majumbani.KWA MBALI NAIONA ZIMBABWE ILEEEE
 
Back
Top Bottom