Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Okay wakuu. Bas naomba kila mmoja arudie kutaja gari ambalo anataka kujua total charges untill gari iko nje ya customs controlled areas
mikejones kiungwana na kisomi unatakiwa ukiargue namna hiyo basi u need to analyze kilicho cha ukweli.
Kubisha kwa aina yako hakusaidii wengine.
mikejonesSasa unasema waongeze laki5 itatosha gharama za shipping line na port charges?? Ninachokwambia mimi ushuri kamili wa chombo chochote cha moto hauwezi kukamilika bila kuwa na gharama ya usajili wa chombo hicho. Pamoja a gharama ya tra wenyewe (customs procesaing fee) ambayo inachajiwa kwa formula ya 0.6% X fob value. Nakuambia tena unachowaandikia watu siyo ushuru kamili...
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]Make[/TD]
[TD]Toyota[/TD]
[TD]Model[/TD]
[TD]Coaster[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Year[/TD]
[TD]2008[/TD]
[TD]Colour[/TD]
[TD]White 2 Tone[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mileage[/TD]
[TD]72227km[/TD]
[TD]Engine[/TD]
[TD]4000cc[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Fuel[/TD]
[TD]Diesel[/TD]
[TD]Transmission[/TD]
[TD]MT[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kama hii nitalipa kiasi gani ple Msaada
mikejones
naona uantaka malumbano ambayo mimi sijayataka na sina muda, ila nakushahuri kama wewe unajua kama unavyojinasibu unajua, basi tuambie hapa na orozesha ni vitu gani vya kulipia vya muhimu na ambavyo sio vya muhimu ambvyo anayeagiza gari anatakiwa aandae bajeti yake.
Please do this kama kweli ni mwenye kuchangia kwa faida ya wasio jua.
Huyo wa coaster ngoja nimsaidie,model HZB 50,passengers 29,CC 4200 year of manufacturer 2008,
Mkuu ukimaliza naomba unisaidie na hii model ya 1998. Guarama zake zinakuwaje?
Coaster ya 98 model gani mkuu??
Invoice ni lazima kaka. Hiyo ndio trade contract kati yako na muuzaji. Lazima iwepo mkuu. Baraka ziwe kwako pia chief.
bavi kwa sasa kupata exemption inatakiwa ununue gari lisilo zidi miaka saba tangu kutengenezwa kwake. Kwa maana hiyo unatakiwa kuagiza gari ya mwaka 2007