Gharama zingine ni kama
1. Delivery Order ambayo wanalipia shipping line, gharama yake inategemea umenunua gari Company gani mfn Be Forward, SBT, Autocom n.k ila huwa kwa Harrier haiwezi kuzidi $70
2. Malipo ya wharfage, haya ni malipo ambayo utalipia TRA, kwa Harrier ya 1998 haiwezi kuzidi laki na nusu
3. Port charge , haya ni malipo ya bandari ambayo yanalipwa kwenda mamlaka ya Bandari - TPA.
note: malipo ya bandari pia sio fixed hivyo hayawezi kuzidi $70 kwa Harrier ila ni kwa siku saba za mwanzo tangu gari imeshushwa kwenye meli baada ya kufika, ila baada ya siku saba itaanza kuongezeka storage cost kwa kila siku ambayo gari itakaa bandarini.
Sent using
Jamii Forums mobile app