Korozoni
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 264
- 106
Samahani,naomba kujulishwa kuhusu gharama za kusoma "STASHAHADA YA UALIMU WA UFUNDI SEKONDARI katika chuo cha KLERUU-IRINGA.
Kama kuna anaye/aliyesoma hapo anisaidie tafadhali.
Pia kama kuna chuo mbali na hicho kinachotoa stashahada hiyo naomba kujulishwa.
Shukrani.
Kama kuna anaye/aliyesoma hapo anisaidie tafadhali.
Pia kama kuna chuo mbali na hicho kinachotoa stashahada hiyo naomba kujulishwa.
Shukrani.