gharama za kushost website

gharama za kushost website

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,230
Reaction score
8,521
hello wandugu naomba kujua gharama za kuhost website
 
Inategemea unataka features zipi zipo hadi za bure lakini sio gharama kubwa... mchek C6 atakusaidia...🙂
 
Last edited by a moderator:
Nami napenda kuungana nawe ktk hili lakini pia nappnda kujua ni nini maana ya kuhost website.



ku host ni kuiweka website kwenye mtandao wa internet ili iweze kutembelewa na watu. Ili ku host website inahitaji uwe na mtoa huduma (web hosting provider) yeye ndiye anayekuwa na servers zinazo host websites
 
hello wandugu naomba kujua gharama za kuhost website

laki moja na elfu hamsini kwa mwaka ukilipa zote au 15,000 kila mwezi, nicheck ktk 0787-730813 au pm tufanye kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom