Gharama za kushinda ubunge ni balaa

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,324
152,136
majimbo.jpg

DSC01191.jpg

Chanzo:Mwananchi online
 
Kama mgombea anajiamini kuwa anaongoza vyema na kuwaletea wananchi maendeleo hatatumia pesa zake kuhonga wananchi wala kamati zake.

Na kama ni anayetetea kiti chake basi Wananchi watampima kwa kurefer alichofanya mfano kama alitimiza ahadi zake.
 
Back
Top Bottom