Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
Pekua humu kuna uzi jamaa alielezea maisha ya KigaliHabari wanajamvi. Natarajia kusafiri siku za hivi Karibuni kwenda Kigali Rwanda Kwa njia ya barabara. Arusha hadi Bukoba, Bukoba hadi Kigali.
Naomba kujua gharama za malazi huko Kigali.
Ahsanteni.
Gharama za malazi na vyakula?Kutoka Mwanza mpaka Kampala nakushauri uende na J4 buses nauli ni Tsh40000, ukifika Kampala lala upumzike na kesho yake asubuhi kuna mabasi mengi JAGUAR au TRINITY ofisi zao ziko jirani jirani kwa hio utachagua mwenyewe uende na bus gani. Ziko bus za kuanzia saa moja hadi saa tatu na nauli ni 40000 Ush. Kampala-Kigali ni safari ya masaa kama 9 hivi. Una swali lingine?
Bei ni kama Tanzania. Tofauti ni ndogo sanaGharama za malazi na vyakula?
Akifika kahama afanye booking apande TRINITY iko vzr sana kama vile yuko ndani ya ndegeHuna haja ya kwenda Bukoba, utapoteza muda wako njiani tu. Panda gari Arusha hadi Kahama, Kahama utapanda Gari za Kigali. Kumbuka 10,000 ya Tanzania ni kati ya 3,000 hadi 3,300 pesa ya Rwanda, hivyo beba madafu ya kutosha. Kutoka Kahama hadi Kigali ni kama sh 35,000.00 Bus Luxury zipo bomba sana.
Mkuu hiyo trinity naikubali sana maana nilipanda kuanzia Lusahunga hadi dar yaani ni kama uko kwa hewa juu juuAkifika kahama afanye booking apande TRINITY iko vzr sana kama vile yuko ndani ya ndege
Habari wanajamvi. Natarajia kusafiri siku za hivi Karibuni kwenda Kigali Rwanda Kwa njia ya barabara. Arusha hadi Bukoba, Bukoba hadi Kigali.
Naomba kujua gharama za malazi huko Kigali.
Ahsanteni.
Kamanda Geriga upo pande hizo siku hizi?Huna haja ya kwenda Bukoba, utapoteza muda wako njiani tu. Panda gari Arusha hadi Kahama, Kahama utapanda Gari za Kigali. Kumbuka 10,000 ya Tanzania ni kati ya 3,000 hadi 3,300 pesa ya Rwanda, hivyo beba madafu ya kutosha. Kutoka Kahama hadi Kigali ni kama sh 35,000.00 Bus Luxury zipo bomba sana.
Bukoba anazunguka tu atoke chuga to kahama akifika hapo ni kupanda gari za Kigali tu en uko kabanga still anazunguka labda km anataka kwenda na kwa nkuruzinza kidogo ndo apitie kabanga bt bro usisahau kumsalimia ange kagameHiyo unatakiwa upande Bus toka Arusha had I Mwanza au Bukoba, ukifika Mwanza unapanda busi LA kwenda Ngara ,ZUBE/Nyehunge, unashukia KAbanga,au ukifika Bukoba unapanda coaster ya Ngara unashukia Kabanga,kutoka Kabanga unapanda vi gari vidogo vidogo vipo Vinci had I border ya Rwanda(Rusumo) nauli elfu 2, toka hapo unapanda kwenda kigari) inategemea utakaa siku ngapi , exchange rate ndo shida Pesa yeti ya madafu iko chini sana kwa Rwanda ,laki moja utapewa elfu 40 ya Rwanda.pambana hakuna ugumu, kama unaenda na kurudi siku hiyohiyo unaweza omba passport ya ujirani mwema ukapita ( kama hauna pass)
Toka Arusha nenda kahama hapo utanyooosha mpaka benako mpakani na pale kuna usafiri wa kutosha tu. Nilikuwa huko mwaka 2012 si lazima ufike mwanza wala bukoba kama umetokea Arusha.Habari wanajamvi,
Natarajia kusafiri siku za hivi karibuni kwenda Kigali Rwanda kwa njia ya barabara. Arusha hadi Bukoba, Bukoba hadi Kigali.
Naomba kujua gharama za malazi huko Kigali.
Ahsanteni.
Mkuu kuna basi nimeshakutana nalo limeandikwa dar to Rwanda. Zuri sana. Fanya kuulizia pale ubungo.
Haahaaaaa.Unapatikana wapi?Nipo tayari kukusafirisha bure from Dar hadi Kigali, Kamembe au hadi Gisenyi.