Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
Msaada wadau.... Nina mpngo wakupiga pepa 2016,
Naomba mwenye kujuaa gharama kunziaa kituo mpaka usajili ni bei gani?!
Ntashkuru sanaa...
Msaada wadau.... Nina mpngo wakupiga pepa 2016,
Naomba mwenye kujuaa gharama kunziaa kituo mpaka usajili ni bei gani?!
Ntashkuru sanaa...
Duuh, brn imekupta pemben jombii?
Nashukuru kakagharama ni kama ifuatavyo
1. Tsh 50,000 ada ya mtihani
2. ada ya kituo hutofautiana ila ni kati ya Tsh. 20,000 hadi 25,000
3. ada kwa ajili ya malipo Posta Tsh 7500
4. usajili ORES nao hutofautina ila ni kati ya 4500 hadi 6000
NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA
aisee kuwa na kumbukumbu ni kitu kimoja kizuri sana katika pitapita zangu mkuu niliona ukiisifia udom hasa college of humanity na CO.ED kuwa kuna vitoto vizuri huwa unachukua wawili wawili nkawaza upo chuo ila ww ni mzee wa totozi
leo nashangaa ukiomba msaada kuhusu kureseat paper nimeamini MFICHA MOTO MOSHI HUMUUMBUA haya baba pambana JF ni jukwaa la wasioona
Doh sasa ww ulifeli unataka kureset necta walikuonea au???
Wewe tuliaa..tuliiii, watu wana DSS PCB ACSEE....2013, ukajuaa ilikuwa ni brn ule mwaka, WAULIZE WALOFANYA ILE NECTA 2013 ILKUWAJE HUSUSANI ADV MATH NA PHY
Ok poa subsidiary ilikuwa inaanzia ngapi 2013?Hakuna brn hapa nimeua huo mwaka 2013 na nilikua pcm sasa sielew jambo jipya unaloliongelea hapo ni lip
Ok poa subsidiary ilikuwa inaanzia ngapi 2013?