Gharama inategemea na vitu vifuatavyo;
>Vyumba vina ukubwa gani?
>Unataka kutumia rangi ya bei gani, mana gharama ya rangi inatofautiana. Zipo ndoo za 30,000 na zingine hadi 150,000.
>Kuta za vyumba zimefanyiwa skiming? Au zimepigwa plasta tu ya kawaida?
Ukishajua Yote Hayo Ndo, Gharama Za Vyumba Vyako Utazifahamu.