Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Iwe wamuaile embandizoMkuu ngoja nikusaidie kwa kuwaita wafuatao:-
Nyani Ngabu
Kiranga
witnessj
Mungu akutangulie Mkuu na ukafanikiwe,ila wakumbuke ndugu zako wa TZ
Hizi nchi watu hawaishi kiubabaishaji wakikugundua wanakurudishaWakuu naombeni msaada wa kujua gharama za kuishi USA au UK,pamoja na vigezo na masharti.Malengo yangu ilikua ni kuishi hizo nchi toka kitambo tatizo lilikua kipato.
Nataka nikaishi tu bila kufanya kazi sababu mimi nafanya online business ambazo ni worldwide so popote mimi life linaenda.
Naishi kwa sport betting,hii biashara nimeshakua addicted kwa hiyo sina mpango wa kufanya biashara yeyote katika maisha yangu.Sipati sana faida wala sipati sana hasara mtaji unakua taratibu.
Sitegemei mtu anishauri nikae bongo niwekeze,sijui nijenge majumba.Hapana mimi nimeshafanya fanya biashara nyingi najua faida na hasara zake kwa sasa nimeamua kuishi kwa maisha yakubeti mpaka kifo sababu na enjoy sana haya maisha.
Na hii ndio sababu nataka nikamalizie maisha yangu UK au USA.
Wakuu naombeni msaada wa kujua gharama za kuishi USA au UK,pamoja na vigezo na masharti.Malengo yangu ilikua ni kuishi hizo nchi toka kitambo tatizo lilikua kipato.
Nataka nikaishi tu bila kufanya kazi sababu mimi nafanya online business ambazo ni worldwide so popote mimi life linaenda.
Naishi kwa sport betting,hii biashara nimeshakua addicted kwa hiyo sina mpango wa kufanya biashara yeyote katika maisha yangu.Sipati sana faida wala sipati sana hasara mtaji unakua taratibu.
Sitegemei mtu anishauri nikae bongo niwekeze,sijui nijenge majumba.Hapana mimi nimeshafanya fanya biashara nyingi najua faida na hasara zake kwa sasa nimeamua kuishi kwa maisha yakubeti mpaka kifo sababu na enjoy sana haya maisha.
Na hii ndio sababu nataka nikamalizie maisha yangu UK au USA.
Kwa uzoefu wangu mdogo, ambao unaweza kuwa na makosa kwa sababu sijafanya uchunguzi rasmi, kutegemea na kama mtu ana familia ama la (watoto anasomesha private schools, public schools au msela mwenyewe tu), anaishi wapi (miji mikubwa expensive au sehemu zisizona gharama), anataka maisha ya juu, ya wastani au ya kati, kwa wastani watu wengi kutoka Tanzania Marekani kwa mfano, huweza kujikimu kwa kuanzia $1,000 mpaka $5,000 kwa mwezi.Mkuu ngoja nikusaidie kwa kuwaita wafuatao:-
Nyani Ngabu
Kiranga
witnessj
Mungu akutangulie Mkuu na ukafanikiwe,ila wakumbuke ndugu zako wa TZ
ego mkulu alabandizaoIwe wamuaile embandizo
kuna team zina kieleele dakika ya nne washatia goliSports Betting......! 10 mins draw
Mkuu ngoja nikusaidie kwa kuwaita wafuatao:-
Nyani Ngabu
Kiranga
witnessj
Mungu akutangulie Mkuu na ukafanikiwe,ila wakumbuke ndugu zako wa TZ
Kuna sehemu inaitwa Palestina ipo Dar, hata kimara huenda kukawa na maeneo yanayo itwa UKkuna uzi fulani alidai yuko UK au nimechanganya madesa?
witnessj njoo huku aisee
Hahaa hahaa .... hKuna sehemu inaitwa Palestina ipo Dar, hata kimara huenda kukawa na maeneo yanayo itwa UK
Kuna sehemu inaitwa Palestina ipo Dar, hata kimara huenda kukawa na maeneo yanayo itwa UK
Aliwanywesha chai mkuukuna uzi fulani alidai yuko UK au nimechanganya madesa?
witnessj njoo huku aisee