Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Wanajukwaa,
Naomba kufahamishwa makadirio ya kupaka gari rangi nyingine (kubadilisha rangi) kwa gari ya Subaru forester.
Natanguliza shukurani!
Ila wapo mkuu, wanapiga rangi mjapan anasubiri.Kama Upo Dar Es Salaam, Hizi Garage za Wachina Kubadili Rangi Bei zao 1.5M - 2M.
Angalizo, usipeleke kupiga rangi gari yako kwenye garage bubu., hao watanzania wenzetu wanaweza kupiga rangi ya ukuta kwenye gari yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Upo Dar Es Salaam, Hizi Garage za Wachina Kubadili Rangi Bei zao 1.5M - 2M.
Angalizo, usipeleke kupiga rangi gari yako kwenye garage bubu., hao watanzania wenzetu wanaweza kupiga rangi ya ukuta kwenye gari yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usidanganye watu. Wapiga rangi kwa Wachina ni hao hao waswahili wenzetu. Kinachozingatiwa ni namba ya rangi....
Nimewahi paka Noah kwa 700000 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajukwaa,
Naomba kufahamishwa makadirio ya kupaka gari rangi nyingine (kubadilisha rangi) kwa gari ya Subaru forester.
Natanguliza shukurani!
kubadili rangi ya gari, kutoka rangi inayosomeka kwenye kadi, basi hilo shauri lazma polisi ihusike na wakupe na docs zao. Sina kumbukumbu, unaanza kubadili kwanza au unaenda trafic kwanza kwa kibali
Nenda kwa traffic police(Vehicle) anakupa vehicle inspection report then unaenda nayo TRA(Wakati huo rangi inaendelea kupigwa) TRA watakubadilishia na kukupa kadi mpya yenye rangi uliomba kubadilisha.kubadili rangi ya gari, kutoka rangi inayosomeka kwenye kadi, basi hilo shauri lazma polisi ihusike na wakupe na docs zao. Sina kumbukumbu, unaanza kubadili kwanza au unaenda trafic kwanza kwa kibali
Inategemea na garage unayopeleka na ainabya rangi unayotaka kupaka na kule TRA uende tena na kadi ya gari ukabadilisheWanajukwaa,
Naomba kufahamishwa makadirio ya kupaka gari rangi nyingine (kubadilisha rangi) kwa gari ya Subaru forester.
Natanguliza shukurani!
Mtafute jamaa yupo Ilala anaitwa Amran 0713733286 anapiga rangi vibaya mno ata watu maarufu kina Baba Diamond na wale Wasafi wanabadili rangi kwa huyo jamaa au pitia page yake amran_autoworks ukaone kazi zake hutojutia
Mkuu niliwaza kama wewe!! jamaa labda ajaribu kurekebisha kauli iwe katika kuonesha jamaa Amrani ni fundi mzuri wa Rangi!!Yaani anapiga rangi vibaya unamsukumizia tena huko?
[emoji23][emoji23]Mkuu niliwaza kama wewe!! jamaa labda ajaribu kurekebisha kauli iwe katika kuonesha jamaa Amrani ni fundi mzuri wa Rangi!!
Tunataka anaepiga rangi vizuri sio vibayaMtafute jamaa yupo Ilala anaitwa Amran 0713733286 anapiga rangi vibaya mno ata watu maarufu kina Baba Diamond na wale Wasafi wanabadili rangi kwa huyo jamaa au pitia page yake amran_autoworks ukaone kazi zake hutojutia
Ila wapo mkuu, wanapiga rangi mjapan anasubiri.
Mtafute jamaa yupo Ilala anaitwa Amran 0713733286 anapiga vizur sana mno ata watu maarufu kina Baba Diamond na wale Wasafi wanabadili rangi kwa huyo jamaa au pitia page yake amran_autoworks ukaone kazi zake hutojutia,