kuna soko nimeliona la mikate na maandazi kijiji fulani,naona panafaa kufungus kabekary kadogo,<kijiji kins watu kama elfu tano ,ukijumlisha na vijiji vys pembrni wanafikia elfu 10+
Naomba kufahamishwa gharams za kuanza biashars hii,mf vifaa,upatikanaji wake bei ukubwa wake .kulingana na soko nk