Gharama za harusi kwa bwana harusi

Ndo maana mi nataka kuoa mzungu.... najua wazazi wake watagharamia kila kitu.
 
Mzee wako kwenye mahari waliweka kipengele kwamba nitafute greda nichonge barabara inayofika hadi kwenu nikafanya hivyo sasa na mafuta tena jamani Lizzy si mniambie tu kama mnataka kufungua sheli ya kuuza dizeli na petroli

Sasa we unalalamika wakati barabara hata we utatumia?

Leta mafuta hayo siku ukiniletea za kuleta nikachukue mtaji kwa wazee.
 
Yaan mie nakazana kumbembeleza TF alete mafuta ya genereta afu wewe unamjibisha?,.

Heheheh. . .
Nikiwa mkali anakaa sawa. . . nikijifanya nanyenyekea atadhani nabembeleza ndoa aje kuninyanyasa bure.
 
Ha ha ha, karibia watakuambia part ya mahari ni wewe kuwa Waziri wa Ujenzi.

Mzee wako kwenye mahari waliweka kipengele kwamba nitafute greda nichonge barabara inayofika hadi kwenu nikafanya hivyo sasa na mafuta tena jamani Lizzy si mniambie tu kama mnataka kufungua sheli ya kuuza dizeli na petroli
 
Mzee wako kwenye mahari waliweka kipengele kwamba nitafute greda nichonge barabara inayofika hadi kwenu nikafanya hivyo sasa na mafuta tena jamani Lizzy si mniambie tu kama mnataka kufungua sheli ya kuuza dizeli na petroli
Lol, swahiba ulivyoenda kwa utambulisho uliwaambia una undugu na magufuli au?
 
Lol, swahiba ulivyoenda kwa utambulisho uliwaambia una undugu na magufuli au?
Swahiba yaani wala hakuna kabisa hata mimi sielewi yaani nililetewa hiyo mahari jinsi ilivyoandikwa kama vile MOU wamei-bind kabisa ina page 20.
 
Nimeipenda sredi. Namba 10 hadi 12 nimecheka sana. Harusi ni balaa jamani.
 
gharama nyingi ndoa hazidumu, siku hizi michango ya harusi ni kama mitaji nafikiri unakumbuka (DECI), lakini usishangae ndio mambo ya kisasa hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…