Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
- Thread starter
-
- #21
Ebu weka picha yake tuioneHummer, gari zilizokuwa over rated, wasabii wa USA wakizipigia promo kwenye nyimbo zao zipate kuonekana ni icon. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu, the shittiest SUV of all. Gari lenyewe lipo insecured, kila sehemu limeandikwa Hummer, front, side mirrors, side steps, nyuma, usukani, viti, kila kona Hummer. The look is terrible, the engine ni matatizo tu kwa mafuta, fuel consumption haiendani na matumuzi, nit efficient at all and its no longer in production kama sikosei, hio ni GM failure. Interior nothing is luxury as the price tag will make you believe. Kama unazo izo 80 million katafute mnyama talk if the world, RANGE ROVER sports tu, nakwambia hii ndio SUV kiboko yao (ukitoa Vogue)
Za mkaburu ndo zipojeMkuu zipo Hummer za Mkaburu siku hizi....usishangae Sana swala la bei...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hio Rangie labda achukue model ya nyuma, ukali wa 2013 kuja huku haitoshi hio hela. Labda amuotee mtu kalishindwa!Hummer, gari zilizokuwa over rated, wasabii wa USA wakizipigia promo kwenye nyimbo zao zipate kuonekana ni icon. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu, the shittiest SUV of all. Gari lenyewe lipo insecured, kila sehemu limeandikwa Hummer, front, side mirrors, side steps, nyuma, usukani, viti, kila kona Hummer. The look is terrible, the engine ni matatizo tu kwa mafuta, fuel consumption haiendani na matumuzi, nit efficient at all and its no longer in production kama sikosei, hio ni GM failure. Interior nothing is luxury as the price tag will make you believe. Kama unazo izo 80 million katafute mnyama talk if the world, RANGE ROVER sports tu, nakwambia hii ndio SUV kiboko yao (ukitoa Vogue)
Yap, ni mshamba totally. Hio gari sikuwahi ipenda na sitakaa niipende. Hao GM walipoteza tu hela zaoHummer nimagarifulani yamepitwa na wakati.Ukimuona mtu anaendesha Hummer mjini kwa sasa ujue huyo limbukeni.
Mwana Range Rover Sports au Porsche Macan Turbo kuendesha mjini unachagua ipikati ya hizo mbili?Hummer, gari zilizokuwa over rated, wasabii wa USA wakizipigia promo kwenye nyimbo zao zipate kuonekana ni icon. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu, the shittiest SUV of all. Gari lenyewe lipo insecured, kila sehemu limeandikwa Hummer, front, side mirrors, side steps, nyuma, usukani, viti, kila kona Hummer. The look is terrible, the engine ni matatizo tu kwa mafuta, fuel consumption haiendani na matumuzi, nit efficient at all and its no longer in production kama sikosei, hio ni GM failure. Interior nothing is luxury as the price tag will make you believe. Kama unazo izo 80 million katafute mnyama talk if the world, RANGE ROVER sports tu, nakwambia hii ndio SUV kiboko yao (ukitoa Vogue)
Serikali si wanakamua tu cash, nadhani wanapigwa 200 kila moja, ila kwa msela kama wewe ni 150 inatosha mpaka unatembelea road bila kokoro yyt na maafandeExtrovert hapo nimekusoma mkuu, nimeona serikali inaagza hayo magari siku hz. Ni bonge la gari..
Kitu Sports utaheshimika mkuu mana kipo too luxurious ndani. Yaani nnachowapendea majamaa designing team yao wanajuaMwana Range Rover Sports au Porsche Macan Turbo kuendesha mjini unachagua ipikati ya hizo mbili?
Nikilichoka gari langu la sasa natafuta kifaa cha kueleweka.
Unaweza ukapata mtu lilomshinda. Si unajua kuna wengine wavabaji. Mtu ana range sport anatia mafuta ya buku 10. Au kuna wengine hawawezi maintainance cost. Kanunua range alijua cost ya kumaintain ni sawa na kumaintain mark 2 grandeNa hio Rangie labda achukue model ya nyuma, ukali wa 2013 kuja huku haitoshi hio hela. Labda amuotee mtu kalishindwa!
Picha ya ipi mkuu Range au Hummer?
Hahahah hio Range ikijambisha kidogo tu ni mil.3 inatakiwa, hapo ndipo utapoelewa kwanini kunguru ni ndege mwenye rangi ya kishujaa ila muoga!Unaweza ukapata mtu lilomshinda. Si unajua kuna wengine wavabaji. Mtu ana range sport anatia mafuta ya buku 10. Au kuna wengine hawawezi maintainance cost. Kanunua range alijua cost ya kumaintain ni sawa na kumaintain mark 2 grande
haha mkuu mi nataka kujua kwanini umetumia mfano wa kikopo cha prestige siagi?Its very hard on fuel, lina maguvu mengi ambayo huyahitaji on daily mobility pia baya halina mvuto...lipo kama kikopo cha prestige siagi
We kama lile kopo unalijua shepu yake tu nadhani ni jibu mujarabu kabisa. GARI BAYAAAAA YAN!haha mkuu mi nataka kujua kwanini umetumia mfano wa kikopo cha prestige siagi?
Hummer fake zipoje????Huyo muongo labda hammer fake hiyo without 300 huwezi Pata hammer
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya range rover sportPicha ya ipi mkuu Range au Hummer?
Mkuu kwani kuna gari mpya??? Kila gari inayopita bandarini pale ni used isipokuwa zinatofautiana TU viwango vya kutumika