Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
Kivipi mkuu,nieleze kidogoHio gari au matatizo tu, halina uzuri wwt zaidi ya kukuongezea gharama ya maisha
Mkuu kwani kuna gari mpya??? Kila gari inayopita bandarini pale ni used isipokuwa zinatofautiana TU viwango vya kutumikatofautisha bei ya kununua used na mpya ...ni sawa mtu akwambie anakuletea prado 4th generation kwa 80m uanze kubisha na kusema hizi gari kawaida ni 135M had bandarini bila ushuru...
Its very hard on fuel, lina maguvu mengi ambayo huyahitaji on daily mobility pia baya halina mvuto...lipo kama kikopo cha prestige siagiKivipi mkuu,nieleze kidogo
Tx mkononi mpaka 35 unauziwaHIVI HIZI TOYOTA TX SIJUI ZINAUZWA BEI GAN?
Mkuu mbona Luna Cc za kawaida sana kwa mfano niliyoiona Mimi INA Cc 3480 ambazo ni za kawaida TENA inazidiwa na discovery td5 INA Cc 4000Its very hard on fuel, lina maguvu mengi ambayo huyahitaji on daily mobility pia baya halina mvuto...lipo kama kikopo cha prestige siagi
We unawaza mademu tuuHii Gari kwa hapa Bongo ndio Brand ya Uhakika!!.
Jina lake tu, Ndoa kadhaa zitakua zimeshavunjika.!!.
Utakua kama pimp mtaani.
We nunua tu.
Usijali kama ni used ama old model.
We Nunua nikupeleke ile baa yenye mademu wakali. Ili Tukasumbue..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Its very hard on fuel, lina maguvu mengi ambayo huyahitaji on daily mobility pia baya halina mvuto...lipo kama kikopo cha prestige siagi
Pengine, siyafatilii sana hata na hivyo, all i know is hilo ligari ni kubwa jingaMkuu mbona Luna Cc za kawaida sana kwa mfano niliyoiona Mimi INA Cc 3480 ambazo ni za kawaida TENA inazidiwa na discovery td5 INA Cc 4000
Hummer ni magari fulani yamepitwa na wakati. Ukimuona mtu anaendesha Hummer mjini kwa sasa ujue huyo limbukeni.Hio gari au matatizo tu, halina uzuri wwt zaidi ya kukuongezea gharama ya maisha