china na dubaiMfano nchi gani na mji gani tukupe bei.
Kwa China haujataja mji.china na dubai
Kila mji au nchi zina hostels ambazo unaweza lala kwa bei ndogo knm.Binafsi napenda sana kuanza na bondeni kwa madiba huko Cpt, jo'burg, durban, etc. Na hata nchi za wazungu pia
Kuna bed space Abu dhambi na Dubai ni $10 per day $300 kwa mwezi lakini wana pendelea pesa ya mweziHuwa najiuliza sana hili swali, ikiwa hapa Tanzania kuna accomodations (lodge na guest houses) za hadi 20,000 au 15,000 kwa siku na ni nzuri tu.
Je, kwa nchi za wenzetu mfano Afrika Kusini na kwingineko hizi hazipatikani?
Kwa wale ambao tunataka kwenda kuexplore nchi za watu ila uchumi hauruhusu kukaa kwenye hotel kubwa. π₯²
Mtaalam, nahitahi Bed space ya familia ya watu 5 maeneo ya Deira. Naomba mwongozo wako plsKuna bed space Abu dhambi na Dubai ni $10 per day $300 kwa mwezi lakini wana pendelea pesa ya mwezi
China ni wewe uamue unataka kuishi mji gan mkuu. Kuna miji hoteli kama kempisk unalala kwa 80. Maana majengo ya gharama ni mengi kuliko wahtaji. Ukienda putian au foshan zipo hotel nzur sana kwa bei ndogo sanachina na dubai
Mkuu UAE nilishatoka niko sehemu tofauti siku hizi sijui taratibu zao.Mtaalam, nahitahi Bed space ya familia ya watu 5 maeneo ya Deira. Naomba mwongozo wako pls
Oya dola 5,000 kwa siku ndio cha chini ππ au umekosea mkuuKwa China haujataja mji.
Dubai kuna hadi hotel za $5,000 kwa siku, lakini pia kuna hadi za 35,000 ila izi ni kama hostel unakuta room mnakaa wawili au zaidi.
Sasa izi ndio Watu wengi wanaenda uko wanakaa siku 7 kwenda mbele ndio wanalala humo.
Unapewa bed, kuna jiko, toilet & bafu.
Dubai maisha sio expensive ukiamua.
mnapotaja kwa dola mnatuchanganya sana, wekeni kwa hela yetu tuta convert wenyeweKuna bed space Abu dhambi na Dubai ni $10 per day $300 kwa mwezi lakini wana pendelea pesa ya mwezi
ndio ninavyosema hawaeleweki, uzungu umewajaa...taja bei ya hela yetu...ukisema dola kumi sikuelewei mimiOya dola 5,000 kwa siku ndio cha chini ππ au umekosea mkuu
πUbaya ukienda kule utalazimika kulipa kwa dola , ila alivyoandika USD 5000 ujue dola elfu5 kwa TSH inafika milioni 10 ndio maana nimeshtuka kakosea ama amemaanishandio ninavyosema hawaeleweki, uzungu umewajaa...taja bei ya hela yetu...ukisema dola kumi sikuelewei mimi
80 tsh?China ni wewe uamue unataka kuishi mji gan mkuu. Kuna miji hoteli kama kempisk unalala kwa 80. Maana majengo ya gharama ni mengi kuliko wahtaji. Ukienda putian au foshan zipo hotel nzur sana kwa bei ndogo sana
Ndio80 tsh?