Of course shamba linahitajika kwa ajili ya uwekezaji kwenye kilimo cha vitunguu maji na swaumu, labda kama una info kuhusu kilimo kinachoweza kufaa pia, nitashukuru!
Habari ya kazi Mr,hayo mashamba ya hiyo bei yapo maeneo gani na yanafaa kwa kilimo tajwa hapo,ufugaji na vipi kuna uwezekano wa kuwepo maji karibu na vip miundo mbinu ya barabara.Hiyo bei ni kwa ekari au