Sahihi kabisa ila kuna wanaofanya mpaka 20000 kwa mita ila electrics fenc unatakiw utafute mtu mwenye ujuzi usiangaalie bei hizo waya mara nyingi huwa zinalegea kutokana na kutokuvutwa vizuri ndo zile unapita sehemu zimening’inia kama bembea unapata hasara marekebisho mara kwa mara.
Mimi ni fundi wa Fensi za umeme, Kama utakua Bado hujafanikisha zoezi la kufungiwa fensi ya Umeme naomba tuwasiliane 0767780909 au WhatsApp 0718944022...
Fensi ikiwa kubwa.. Ni 20,000 kwa mita lakini fensi ikiwa ndogo hua napiga idadi ya nguzo.. ambayo mala nying inakua fever kwa mteja yaani nampa discount nzuri sanaa