Habari wakuu, Naomba kwa anayejua gharama au makadirio ya gharama ya kuvuta umeme umbali wa nguzo tatu(3) kwa vijijini (Umeme wa REA) naomba anijuze wakuu.
Hiyo bado sijajua lakini kwa gharama za kawaida inakua kama sh 9,96000
Kwa nguzo tatu.
nguzo moja sh 3,32000