Gharama ya kutengeneza dawati

Gharama ya kutengeneza dawati

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Kwa wenye uelewa hebu tuwekee gharama ya kutengeneza dawati moja kwa kutumia mbao za mninga.

Hii itatusaidia kujua kiwango halisi cha fedha za michango ya madawati.
 
Na pia itatusaidia kujua jinsi gani hii serikali ilivyo-kubwa jinga kwa watoto kuendelea kukaa chini hadi leo hii
 
Kwa wenye uelewa hebu tuwekee gharama ya kutengeneza dawati moja kwa kutumia mbao za mninga.

Hii itatusaidia kujua kiwango halisi cha fedha za michango ya madawati.

Ikiwa unajua muundo halisi wa dawati husika na idadi ya mbao,misumari,polish na ufundi untakokotoa tu kirahisi!
 
Mbao za mninga zimekatazwa na maafsi misitu. Ukikamatwa na dawati lilitengenezwa kwa mbao za mninga utafungwa tu.
 
Haiingii akilini kuwa mpaka leo hii watoto wana kaa chini.
 
Back
Top Bottom