Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Mimi bajeti yangu ni 150000 - 250000.Naomba kufahamishwa ni sabufa gani imara na Ina mziki mkubwa na ulio tulia kulingana na bajeti yangu.
Nami ninayo yangu acha kabisaaaa.Nipe laki mbili nikuuzie yangu .nmetumia kidogo. Sea piano . Mziki mnene
Iyo Sea Piano sh ngapi dukaniNami ninayo yangu acha kabisaaaa.
Siiuzi ng'oo sio kwa mziki ule.
Sea Piano habari nyingine...
Ila usiombe iharibike utaichukia gharama zake.
Mhhhhh mbona naona mabadiliko?Iyo Sea Piano sh ngapi dukani