Gharama nafuu za upauaji

May 20, 2016
25
6
aecf442c0be8f8b4538ff9239ce85a24.jpg

About Big one enterprises


Bigone logistic inakupa suluhisho la kupaua kuanzia ushauri
wa kukupigia hesabu mabati mangapi yanahitajika katika nyumba yako kwa njia ya ramani au kufika site kwako bila gharama yoyote,ushauri wa bati gani bora kulingana na budget yako,utaletewa bati mpka site kwako maana baada ya kununua hakuna gharama za ziada
30364481da6f71e9a940a20dac4608c1.jpg

Tutakufuata popote pale uwe ofisini au site kwa ajili ya kushauriana,kukupa uchaguzi wa kipi bora kwa wateja wa hali zote na mahitaji yote,pia tuna mafundi wa gharama nafuu za upauaji zaidi ya watano utakayeridhika na cotation zake.
f4bf0e478e8b8f42f96e9d9b9273566d.jpg


Tunakupa zaidi ya unachohitaji,zaidi ya kiwanda,zaidi ya agent,unatupa kazi unasubiri mzigo, gharama za ziada hakuna baada ya kununua .
13a3652f9398a0606957f6fc91cbd042.jpg

Piga 0656-816616
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom