kweli ni kinyesi ndani ya MsalaniMeena anafuata matwakwa yenu, mlikuwa mkililia kuonyeshwa kaburi la Ballali sasa mwandishi amefanya kazi yake vizuri, amewaonyesha picha ya kaburi pamoja na maelekezo ya lilipo, hamtaki tena!
Hospitali alikwenda lakini zilivyo kanuni walikataa kumpa taarifa mpaka kwa idhini ya familia. Pengine hujasoma Makalla zake zote...Eti huyu naye Neville Meena ni investigative journalist, my ribs!. Hivi Kweli Neville Meena hajui kwamba Balali alitibiwa kwa kodi za wavuja jasho wa Tanzania na "mazishi" yake yaligharamiwa na SMT kwa 100%?
Hivi huyu Neville Meeana alishindwa hata kwenda kwenye hospitali aliyokuwa akitibiwa Balali na kufanya mahojiano na madaktari/uongozi wa hospitali iliyomtibu hadi "mauti" yalipomkuta badala ya kutuletea hizi hekaya za Abunuasi za Kaburi la Balali.
Amini msiamini Daudi Ballali hajafa,kafichwa marekani ili kuficha uozo wa Epa..Ni msiba gani ambao ulikuwa hauna siku za maombolezo? watu walizuiliwa kuuona mwili wake picha walizopiga huyo maiti ziko wapi? Na huyu Meena njaa inamsumbua wanamtumia ili afanye uhuni anaofanya,naita uhuni coz watz maisha magumu but wengine wanachezea akili za watu..Anwani ya hiyo nyumba ya huyo ballali ni ngapi? Nyumba hii ipo mji gani watu tufuatilie.
Eti huyu naye Neville Meena ni investigative journalist, my ribs!. Hivi Kweli Neville Meena hajui kwamba Balali alitibiwa kwa kodi za wavuja jasho wa Tanzania na "mazishi" yake yaligharamiwa na SMT kwa 100%?
Hivi huyu Neville Meeana alishindwa hata kwenda kwenye hospitali aliyokuwa akitibiwa Balali na kufanya mahojiano na madaktari/uongozi wa hospitali iliyomtibu hadi "mauti" yalipomkuta badala ya kutuletea hizi hekaya za Abunuasi za Kaburi la Balali.