Ghana: Mwanamke afungua akaunti feki ili kupima uaminifu wa 'boyfriend' wake, apewa jibu la kushangaza

kwa dunia ya leo wale wanaojidai kuwa na wivu kwa mtu mliekutana nae ukubwani wanateseka sana, Ishi kama hujali vile "Akidinywa au akidinya nje" ukiona poa endelea nae kama unaona haifai achana nae tafuta mwingine, hizi habari za kuchunguzana, mara kunywa sumu,kujinyonga kisa mapenzi halafu unamuacha " Akidinya au kudinywa" na wengine wewe ukiwa ushajiozea ni zaidi ya ujinga
 
"mwana kuyataka mwana kuyapata"
ulimwengu wa sasaivi haupo fair, hakuna kuoneana huruma
kama hapa JF leta mada ya kuumizwa kwenye mahusiano or whatever uatakandamizwa hadi ujute
 
Wanaume ni Umeme usio pimika Kwa tester😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…