Ghana: Kanisa laandaa Ibada ya kusherehekea Ushindi wa Chelsea

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,651
2,000
KANISA GHANA LAANDAA IBADA KUSHEREHEKEA USHINDI WA CHELSEA

Kanisa moja katika mji mkuu wa Ghana, Accra, limeandaa ibada ya kutoa shukrani kutokana na ufanisi wa hivi majuzi wa Chelsea katika Ligi kuu ya England ‘Premier League’.

Mchungaji Azigiza ambaye ni shabiki damu wa klabu hiyo aliwahamisha waumini wafike kwa ibada wakiwa wamevalia fulana za klabu hiyo.

Alisimama juu ya keki ya Chelsea kwenye jukwaa ambalo lilikuwa limejengwa kufanana na uwanja wa soka.

Alisema: "Chelsea, kwa kudura zake Mungu, walimaliza wa kwanza."

Azigiza pia aliongoza waumini kuimba aya ya wimbo wa Klabu ya Chelsea, Blue is the Colour.

Pasta huyo, ambaye wakati mmoja alikuwa DJ wa redioni, alikuwa pia anamtania mkuu wake katika kanisa hilo la Living Streams International Church, Pasta Ebenezer Markwei, ambaye ni shabiki wa Arsenal, na ambaye alikuwa amemkaribisha kwa ibada hiyo

Pasta Markwei alitoa mahubiri kuhusu "mema, mabaya na maovu ya ushindani" akidokeza kwamba mashabiki wa soka wanafaa kushiriki katika ushindani mwema.

Alisema kuna mambo mema sana katika kfuurahia ufanisi wa watu wengine.

========

Ghana church holds Chelsea thanksgiving service


5 June 2017

From the sectionAfrica

These are external links and will open in a new windowShare

[https://ichef]Image copyrightLIVING STREAMS INTERNATIONALImage captionReverend Azigiza thanked God for Chelsea's success

A church in Ghana's capital, Accra, has held a thanksgiving service for Chelsea following its recent success in the Premier League.

Long-time Chelsea fan Pastor Azigiza encouraged people to come wearing football tops of their favourite team.

Standing behind a Chelsea cake on a stage made to look like a football pitch he said: "Chelsea, by the grace of God, came first."

He told the BBC he wanted to use the power of football to talk about God.

Africa Live: Updates on this and other stories

Azigiza also led the congregation in a verse of the Chelsea anthem Blue is the Colour.

The pastor, who at one time was a radio DJ, was also teasing his immediate boss at the Living Streams International Church, Reverend Dr Ebenezer Markwei, who is an Arsenal fan.

Image captionPastor Azigiza's boss Ebenezer Markwei (right) is an Arsenal fan

In his sermon, Pastor Markwei talked about "the good, the bad and the ugly of rivalry" suggesting that football fans should engage in friendly rivalry.

He said there was fellowship in rejoicing in others' successes, so when it is your turn others would do the same.

Image captionFans of different teams were encouraged to embrace each otherImage captionThe church wanted to encourage friendly rivalry

The one blemish in Chelsea's domestic season was that they lost the FA Cup Final - 2-1 to Arsenal.

But during the service Azigiza thanked God for Arsenal's victory "because it means that [Arsenal manager] Arsene Wenger will stay" and they cannot win the league with him, he said.

Fans of all teams were welcome to the service and Azigiza told the BBC that he wanted to defuse rivalry between supporters of different clubs.

Although, he added, they were reminded that Chelsea had just been crowned Premier League champions.

Image captionThere was no doubt that it was a celebration of ChelseaImage captionDancers did football moves to Chelsea's anthem

Chelsea won the Premier League in May with 93 points, seven ahead of their nearest rivals Tottenham.

The English Premier League has a large and passionate following in Ghana.

Researched carried out by Twitter in 2015 suggested that Chelsea is the most popular side in Ghana and much of the rest of West Africa.
Ghana church holds Chelsea thanksgiving service - BBC News
 

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
922
1,000


Katika hali isiyo tarajiwa kanisa moja nchini ghana lafanya misa maalumu baada ya chelsea kuwa mabungwa

katika misa hiyo kulikuwa pia na keki yenye mwonekano wa uwanja wa chelsea na waumini walivalia jezi za chelsea pia huku mpaka jukwa likiwa kama kiwanja cha mpira

mchungaji wa kanisa alisema ni lazma wamshukuru mungu kwa kuiwezesha chelsea kutwaa ubingwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom