Getway PC...windows inagoma kuwaka.

Getway PC...windows inagoma kuwaka.

Mathias1981

Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
69
Reaction score
19
Mambo vp?msaada tafadhari CD imegoma kutoka kwani mashine hii ya gateway haina eject kwenye upande wa CD Rom,nainategemea keyboard yake yenye eject sasa kwa bahati mbaya alienipa aliishapoteza keyboard yake,now inamouse tu wireless..naukiiwasha inadai kuna file la windows limemiss,hivyo haiendelei kuwaka..naukiichek inapower button tu,coz wameiwekea monitor hapo hapo nakila kitu..sasa nahitaj kuinstall windows mpya nafanyaje?kuitoa cd iliyo ndani ya mashine,ili niingize cd yawindows..?nahapohapo keyboard yake yenye eject button haipo?je?nikiunganisha usb keyboard yakawaida naweza fanyaje ili kuitoa cd iliyokwama ndani...natanguliza shukuran...,,
 
Tafuta pendrive yenye gb 2 na kuendelea kisha download linux live usb creator then download ubuntu live cd itakuwa ni less than 725 mb then fungua ile live usb creator locate driver yako sehemu ya driver na iso yako ya ubuntu after hapo chomeka usb keyboad nenda bios chagua usb install device kama firs boot device kumbuka kwenda bios wakati usb yako imechomekwa then restart acha mpaka iboot kwenye pendrive then chagua try without install ikiwaka nenda computer then eject hiyo cd utakuwa umemaliza tatizo
 
mkuu asante sana..ndio najaribu kufanya makeke kisha ntakujuza nikichemka..,thanx a lot
 
Back
Top Bottom