BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Habari!
Natafuta hiki kitabu kama kinawezekana ku-download hivyo naomba msaada jinsi ya kupata link au naomba link..Kitabu kinaitwa:
Getting to yes: Negotiating agreement without giving in by Roger Fisher, William Ury and Bruce Patton.
Asanteni!!!
NB:I hope nimetuma jukwaa sahihi,otherwise ishughulikiwe kwa transfer
Hey
You can get it from Amazon, price wise is affordable....should I place the order ukija IJUMAA ukikute? advice..
Getting to Yes: Negotiating Agreement Without Giving in: Roger Fisher, Bruce M. Patton, William L. Ury: Amazon.co.uk: Books
hahahaha Masa mnunulie tu bellies atakapo kuja kwenye mechi ya Man na Barca akichukue.
hahahaha Masa mnunulie tu bellies atakapo kuja kwenye mechi ya Man na Barca akichukue.
Thank you so much!..Ordering will be a good idea as its affordable maana sikuchek price halafu mpaka nikipate hamu ya kukisoma inaishia..
Do that basi,will collect it on friday!..take care dear
Hey
You can get it from Amazon, price wise is affordable....should I place the order ukija IJUMAA ukikute? advice..
MASA,
Naona umempatia Belinda jibu la haraka na lakuridhisha.
Mimi nami ninatafuta kitabu Cha kiswahili WIMBO WA LAWINO (Ni tafsiri ya SONG OF LAWINO by OKTH P'bitek).
Niliwahi kuomba msaada katika JF lakini maelekezo niliyopata hayakunisaidia.
Nisaidie mtaalamu uliyemsaidia BELINDA.
EXAUD J MAKYAO
NIMEANGALIA AMAZON SASA HIVI NIMEPATA HII................
NIMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA KAMA WEWE MKUU.....
MASA,
Nashukuru sana mwana - CHELSEA mwenzangu wa zamani.
Endelea kunisaidia kucheck ni lini nitapata hiyo nakala ya KISWAHILI,