Getrude Ndibalema, Dickson Kibona watimuliwa uanachama na BAVICHA kwa ‘Uasi’

Ndibalema angeachwa tu chadema tujifunze kuwa wavumilivu hii timuatimua si busara sana. Mtu ameshajivua vyeo ndani ya chama aachwe aendelee kuwa mwanachama wa kawaida hakuna impact yoyote. Hili lilifanyika pia kwa Dady Igogo kule Iringa, ningependa option ya kutimuana iwe ya mwisho pale mtu anapokuwa ameshindikana hasa na siyo option ya kwanza.
 
Moderator kama ungekuwa makini ule uzi wa Mama yoyoo ulitakiwa kutumbukizwa humu , hakukuwa na haja ya kuuacha tu hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…