Geto la msichana ni la kuogopa kabisa

chaz beezz

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
217
841
Dah! Hawaa madem wanao ishi kigeto geto ni wakuwa nao makini saaanaaa. Unaweza kujiona umefika kwamba we ndo kidume umepata pisi inageto lake unaenda unajisevia muda wowote utakavyo, mzee unajidanganya hauko peke yako Kuna vidume Kama wewe kibao tu wanapangwa vizuri tu kwa ratiba za kufika hapo geto kwajili ya kujisevia papuchi.

Nakuambia mzee wangu unajidanganya jaribu kuchunguza utarudi kunishukuru utagundua kuna wenzako kama wewe mnaoshirikiana kulipa kodi na kutoa mahitaji ya ndani bila kujijua.

Hii imenikuta Jana usiku Kuna pisi moja Kali tu ipo mtaa wa pili na hapa ninapoishi zimepita siku tumekubaliana tuonane ikapanga mahali pakukutana ambapo ni getoni kwake kwajili ya mnyaduano.

Mchizi nikaona siyo kesi mtoto mkali mkali aafu nilikua namfukuzia kitambo Leo kanitafuta anadai niende kwake so nilienda kwake mida ya saa 5 usiku akasema hana bwana.

Khaaaa sinikaenda hadi chumbani kwake namie nikajiachia nikampa show ya kibabe kumbe kuna boy mwenzangu mmoja kalipa kodi siku3 zilizopita hiyo siku nae aliamua Kuja bila taarifa akafika pale geto na kukuta mazingira ya tofauti jamaa akatega sikio dirishani kwa demu akasikia sauti kwa ndani zinamtatiza.

Hapo mzee nishapiga cha1 cha2 ile naenda cha3 sasa nakitafuta cha3 kilivyo kigum kutoka, miguno kama yote nikasikia jamaa akiita Aisha Aisha we Malaya nifungulie mrango daaaaah, nilinywea ghafla nikamuuliza taratiibu nani huyo akasema achana nae uyo bwege yaani kikodi alicholipa cha miez 3 kinamtoa roho kweli hakufungua mlango jamaaa akaenda kinyonge huku akitukana, we Aisha malaya sana nitakuonesha jaamaaa

Demu ndo kwanza hajali wala haoneshi dalili ya wasi wasi lakini kwangu me Ile Hali ilinitoa mchezoni kabisa nikaamua kuhairisha mechi nikavaa na kuamua kusepa zangu kwangu.

So OGOPA Sana demu mwenye geto, so wako tu na huwezi kuenjoy vzr mnyaduo sababu hauwezi kuwa huru, nimeamua siwezi Tena kwenda getoni kwa demu
 
Ilikuaje???
Mpuuzi sana yule kanipigia simu nimekumis njoo nyumbani saa 3 nina hamu na wewe LA HAULA niliyoyakuta yaan nimekaribia mpaka dirishani kwake nasikia minong;ono kama sauti inabembeleza nikachungulia kwa pupa niliyaona daa nakuta demu kalaliliwa daa analiwa uroda yaan mzuka wote ulipungua niliondoka bila kugeuka demu mjinga sana namlaaani kila nikimuona kilichoniuma sio kuliwa bali kwanini aniite akijua yupo na mtu mpuuzi sana yule sina hamu nae
 
🤣🤣
mpuuzi sana yule kanipigia simu nimekumis njoo nyumban saa 3 nina hamu na wewe LA HAULA niliyoyakuta yaan nimekaribia mpaka dirishani kwake nasikia minong;ono kama sauti inabembeleza nikachungulia kwa pupa niliyaona daa nakuta demu kalaliliwa daa analiwa uroda yaan mzuka wote ulipungua niliondoka bila kugeuka demu mjinga sana namlaaani kila nikimuona kilichoniuma sio kuliwa bali kwanini aniite akijua yupo na mtu mpuuzi sana yule sina hamu nae
🤣🤣
 
1- umshukuru lion chawene kusema ufumanizi lazima kue na cheti chandoa unabahati niliishia dirishani

@wewe,fala kweli unaendaje kwenye getho LA demu hivi hua mnajitaftia kufaa au nn
Vijana wasikuhizi lodge huzioni acheni maswala hayo

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wa siku hiz baadh yao ni matatizo tupu
Wanapenda ngono kuliko wanaume
Na mimi nasema waendelee kuwapanga folen hao wanaume na kuwachuna ngozi hadi akili ziwarudi pumbavu Sana

Oeni mavi yenu
 
Back
Top Bottom