Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Sep 19, 2012 #61 Erickb52 said: Dogo hujui huyu ni mke wa kaka? Click to expand... Kwa nini kaka asitoe mwenyewe taarifa unakuja kumtolea wewe?!!
Erickb52 said: Dogo hujui huyu ni mke wa kaka? Click to expand... Kwa nini kaka asitoe mwenyewe taarifa unakuja kumtolea wewe?!!
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Sep 19, 2012 Thread starter #62 Smiling Saint said: Kwa nini kaka asitoe mwenyewe taarifa unakuja kumtolea wewe?!! Click to expand... Na kwanini yeye asije kulalamika unakuja wewe? Heheheheeeee dogo bhana aisee una mambo lol ngoja aje akupe za uso na umbea wako wa hadharani
Smiling Saint said: Kwa nini kaka asitoe mwenyewe taarifa unakuja kumtolea wewe?!! Click to expand... Na kwanini yeye asije kulalamika unakuja wewe? Heheheheeeee dogo bhana aisee una mambo lol ngoja aje akupe za uso na umbea wako wa hadharani
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Sep 19, 2012 #63 Erickb52 said: Na kwanini yeye asije kulalamika unakuja wewe? Heheheheeeee dogo bhana aisee una mambo lol ngoja aje akupe za uso na umbea wako wa hadharani Click to expand... anipe za uso au anipongeze hata yeye akiona lazima aingiwe na wasiwasi!! ndio ile habari ya mwenye mke anakula mchicha halafu dogo unandaliwa kuku mh!!
Erickb52 said: Na kwanini yeye asije kulalamika unakuja wewe? Heheheheeeee dogo bhana aisee una mambo lol ngoja aje akupe za uso na umbea wako wa hadharani Click to expand... anipe za uso au anipongeze hata yeye akiona lazima aingiwe na wasiwasi!! ndio ile habari ya mwenye mke anakula mchicha halafu dogo unandaliwa kuku mh!!