carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,577 Reaction score 285,648 Jul 24, 2018 #2 Hii ilikuwepo zamani,ila sasa watu wanaogopa wasiojulikana. Ila ngoja waje
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,397 Reaction score 121,717 Jul 24, 2018 #3 carbamazepine said: Hii ilikuwepo zamani,ila sasa watu wanaogopa wasiojulikana. Ila ngoja waje Click to expand... Na wewe unawaogopa? Kama hauwaogopi njoo hapa Bulyaga bar fastaa
carbamazepine said: Hii ilikuwepo zamani,ila sasa watu wanaogopa wasiojulikana. Ila ngoja waje Click to expand... Na wewe unawaogopa? Kama hauwaogopi njoo hapa Bulyaga bar fastaa
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,577 Reaction score 285,648 Jul 24, 2018 #4 Naitisha bodaboda fasta nakuja Habari ya uzima? andjul said: Na wewe unawaogopa? Kama hauwaogopi njoo hapa Bulyaga bar fastaa Click to expand...
Naitisha bodaboda fasta nakuja Habari ya uzima? andjul said: Na wewe unawaogopa? Kama hauwaogopi njoo hapa Bulyaga bar fastaa Click to expand...
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,397 Reaction score 121,717 Jul 24, 2018 #5 carbamazepine said: Naitisha bodaboda fasta nakuja Habari ya uzima? Click to expand... Mungu ni mwema. Kwako je?
carbamazepine said: Naitisha bodaboda fasta nakuja Habari ya uzima? Click to expand... Mungu ni mwema. Kwako je?
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,577 Reaction score 285,648 Jul 24, 2018 #6 Huku kwema kabisa,tunashukuru andjul said: Mungu ni mwema. Kwako je? Click to expand...
Castle_Lite JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 4,757 Reaction score 10,786 Jul 24, 2018 Thread starter #7 carbamazepine said: Hii ilikuwepo zamani,ila sasa watu wanaogopa wasiojulikana. Ila ngoja waje Click to expand... kuna tukio lilitokea? lilikuwaje? ni idea mbaya?, tukio lililotokea haliwez zuilika? lilikuwa na kibali? lilikuwa na dhumuni gani?
carbamazepine said: Hii ilikuwepo zamani,ila sasa watu wanaogopa wasiojulikana. Ila ngoja waje Click to expand... kuna tukio lilitokea? lilikuwaje? ni idea mbaya?, tukio lililotokea haliwez zuilika? lilikuwa na kibali? lilikuwa na dhumuni gani?
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,397 Reaction score 121,717 Jul 24, 2018 #8 carbamazepine said: Huku kwema kabisa,tunashukuru Click to expand... Nafuarahi kusikia hivyo
okoyoko JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 2,664 Reaction score 3,653 Jul 24, 2018 #9 Mtoa mada, ww ni usalama wa taifa?
Castle_Lite JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 4,757 Reaction score 10,786 Jul 24, 2018 Thread starter #10 okoyoko said: Mtoa mada, ww ni usalama wa taifa? Click to expand... Hapana, kwani mikusanyiko ya furaha nayo imekatazwa? nadhan inahutaj kibali maalum tu
okoyoko said: Mtoa mada, ww ni usalama wa taifa? Click to expand... Hapana, kwani mikusanyiko ya furaha nayo imekatazwa? nadhan inahutaj kibali maalum tu