Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 5,115
- 24,951
Ila hao wanaotoboa sikio kama vile chekecheke la kupepetea mahindi mashineni, ptyuuuuu mbaka.
😀😀😀laki 3 hapa kwanza nataka nikatoboe kwa pili na kitovu😅😅😅😅😅 piercing everywhere😂😂 kwanza umevaa hereni za sh ngapi? Tuanzie hapo
😀😀😀😀😀nakupata nakupata kutokea igiranganji postaaNa silver zangu za mabati from igiranganjii kkoo
Umeacha wapi miwani😀😀😀Mbona sioni kilichoandikwa naona title tu jamani 😂
🤣🤣🤣 nyie ndio mtoa mada anawasemea😀😀😀😀😀nakupata nakupata kutokea igiranganji postaa
Anasema eti serikali ya Chadema inawatumia wakina baba kwa manufaa yao.Ametusifia au amefanyeje[emoji3][emoji3]
Ndomu itakulinda na gono ?vaa ndom ya bati hapa, utanishukuru
😀😀😀😀ni wivu wake shenzi🤣🤣🤣 nyie ndio mtoa mada anawasemea
Unaweka sikioni mshahara wa mtu
KheeeIla hao wanaotoboa sikio kama vile chekecheke la kupepetea mahindi mashineni, ptyuuuuu mbaka.
😀😀😀😀😀😀Anasema eti serikali ya Chadema inawatumia wakina baba kwa manufaa yao.
Hawapati vidonda kwenye masikio ?Ila hao wanaotoboa sikio kama vile chekecheke la kupepetea mahindi mashineni, ptyuuuuu mbaka.
Labda udokta wa heshima kama wa babu taleKheee
Yan dokta mzima
Unasema ptuuuuu mbaka
Ngachokaaa
Dah kuna pisi nilichukua namba ilikuwa imevaa ushungi....vaa ndom ya bati hapa, utanishukuru
Bleach ina shida ganiDah kuna pisi nilichukua namba ilikuwa imevaa ushungi....
Kuja kuona picha zake kumbe ina bleach kichwani.
Ah stimu zote zikaisha.
Bleach ina shida gani
Huyu ameziimba pisi zenye bleach.
So far, bleach, wigi, kutoboa matundu saba saba, make up kilo 8, Kucha kama Cardi B na mengine naziona kama insecurities.
I cant date mtu wa hivo....
Huenda hujui maana yake.Kheee
Yan dokta mzima
Unasema ptuuuuu mbaka
Ngachokaaa
These are all true. I would add "can't cook and maintain a household" to that list. This includes being able to be a nurturing mother.Ila hao wanaotoboa sikio kama vile chekecheke la kupepetea mahindi mashineni, ptyuuuuu mbaka.
Another red flag [emoji626] is women who describe themselves as liberal. You make the mistake of having a child with this type of woman, not only were you spermjacked, your son will end up in a dress and your daughter with green hair, tattoos and piercings to repeat the cycle [emoji680]Dah kuna pisi nilichukua namba ilikuwa imevaa ushungi....
Kuja kuona picha zake kumbe ina bleach kichwani.
Ah stimu zote zikaisha.
When you see a woman with tatoos Run away. Fast.
Huyu ameziimba pisi zenye bleach.
So far, bleach, wigi, kutoboa matundu saba saba, make up kilo 8, Kucha kama Cardi B na mengine naziona kama insecurities.
I cant date mtu wa hivo....