Get these brand new Laptops at very cheap price!



mkuu bei yako ni reasonable kabisa maana mimi nilinunua toshiba satelite C660, 500gb Hdd, 4gb ram, core i3 processor.. kwa 950,000
 
Mkuu.@Young Master Kwangu mimi hiyo hainifai mimi ninataka Del yenye Ram Memory kuanzia Ram 8 GB sio hiyo yenye Ram 2 GB ni ndogo sana kwangu mimi hainifai inawafaa watoto wadogo wa shule hongera mkuu kwa kuweka hicho kitu...................
kwani kaka 'mtendawema' Mzizimkuu hiyo laptop ya Ram ya 8gb unataka kuifanyia shughuli gani?
 
kama upo arusha tutafutane,,,,,,,,,,,,, nipo hapa makumira
 
Mkuu Young Master, bidhaa zimetulia...acha niwatangazie na wengine
 

kweli Youngmaster bei zako ni karibu na bureeeeeeeeee,mwenye macho sasa na aone
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…