Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Mkuu.@Young Master Kwangu mimi hiyo hainifai mimi ninataka Del yenye Ram Memory kuanzia Ram 8 GB sio hiyo yenye Ram 2 GB ni ndogo sana kwangu mimi hainifai inawafaa watoto wadogo wa shule hongera mkuu kwa kuweka hicho kitu...................
Sawa mkuu Young Master nimekuelewa...........What matters kwenye PC ni processor speed. mambo ya RAM na hard disk hizo zinaweza kubadilishwa any time.
Mkuu Toshiba yenye processor Core i3 2.5ghz Hdd 500gb naweza kupata kwa sh ngapi
Kwa kweli sina toshiba yanay specification hizo mkuu...ipo dell tu hiyo unayoiona juu.
ZInaweza kubeba mzigo ulioshiba??
What matters kwenye PC ni processor speed. mambo ya RAM na hard disk hizo zinaweza kubadilishwa any time.
mbona bei siyo rahisi
Una uhakika na jibu lako? unaweza ukawa na pentium four ukaweka RAM ya 8GB? au HDD ya 500GB?
Vipi unatuagizia hadi sie wa mbali? Hiyo toshiba ya kulia ni mini? My mumy anataka ila isiwe mini na isiwe kubwa.
Tatizo la hawa jamaa wa Ausha bei zao zimekaa kitalii talii tu sasa hapo mashine yenyewe ram 2 Gb halafu anaiuza laki saba bado anaiita bei ndogo,mbona mi naona kubwa tena kubwa kupita kawaida?
Mkuu Toshiba yenye processor Core i3 2.5ghz Hdd 500gb naweza kupata kwa sh ngapi
Hii waweza pata kwa laki 7 ila haina OS,i3,speed ni 2.4,RAM 4GB,500HDD. Nimenunua 2wks ago Samora avenue duka la Freedom communication. Toshiba satelitte C850-F03A