Gestational diabetes

Barbra

JF-Expert Member
Oct 19, 2016
1,046
943
Habari wanajf nawasalimu

Naomba aliyepitia hali ya kupata sukari kipindi cha ujauzito au yoyote aliyeona mtu mwenye hali hiyo tusaidiane kwa mawazo

Mimi ni mmoja wapo nna shida huu ni ujauzito wa pili na sukari imejirudia nipo wiki ya 28 kwa sasa natumia insulin.Tusaidiane maana naona nakuwa mtu wa mawazo haswa wanaponiambia hii Ni alert kuwa Sina miaka mingi nitapata ugonjwa wa kisukari.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom