Wafanyabiashara watu wa kutaka faida siku zote, tusitegemee Sana. Cha msingi ushindani ndo utashusha bei.
Sidhani mkuu.
Sasa mtu atauliza TPDC inaongozwa na watu waliosoma au bar maid. Inasikitisha sana mtu mzima msomi aliyekwenda nje kusoma anakua na akili ya barmaid. Akili ya kunywa maji kwenye chupa ya bia ili aliyemnunulia ajue anakunywa beerShida ilikua TPDC wanataka kumuuzia Dangote gesi kwa bei sawa sawa na mtu aliepo Dodoma au Dar es salaam, Arusha wakati yeye yupo kwenye source hapo hapo Mtwara nadhani serikali itakua imeufyata
Kila mara naomba watu wapewe kozi fupi za uandishi
Transportation expenses...Viwanda vingine navyo viuziwe kwa bei ya dangote ili kuwe na haki kwa viwanda vya cement