Habari, nasumbuliwa sana na mingurumo kwenye tumbo na tumbo linaniuma sana, nimetumia dawa nyingi hospital lkn bado, naombeni ushauri ni dawa gani mzr itanisaidiaa ndg zangu

Pole sana lakini hapa huwezi kupata msaada stahiki kwa sababu hakuna anayejua chanzo cha gas yako tumboni ni nini! Watu watakuwa wanabahatisha na hivyo kukushauri unywe dawa kwa kubahatisha kitu ambacho kinaweza kisimalize tatizo au kikafanya liwe kubwa. Tatizo lako litaisha siyo kwa kunywa dawa tu bali kwa kujua kwanza chanzo ni nini.