trimie obama ll
Member
- Apr 29, 2013
- 36
- 6
Wana JF kuna jambo linanitatiza.....nimekuwa nikifatilia kwa umakini sana vipindi vya bunge na swala zima la Mtwara..Kauli ya Serikali iliyotolewa na poyoyo Nchimbi leo asubuhi na bwana cheka JK Jana usiku ni kwamba gesi ni rasilimali ya waTZ wote ...kwani wanaMtwara wanapodai ibaki Mtwara wana maanisha ni ya kwao peke yao??????? Gesi ikibaki Mtwara WATZ wengine hatuta faidika???Gesi ipelekwe Dar kufanya nn???????????yani mimi binafsi sijaelewa na sioni kama kuna ulazima wa hiyo Gesi kupelekwa DAR....Ibaki Mtwara, viwanda na miundo mbinu iboreshwe huko...kwa upande mwingine...dar has a population which is currently not supported by the available land...watu wanazidi kuwa wengi kila kukicha....kuhamishia Gesi Dar kunaalika watu zaidi in the name of employment opportunities....I think its high time kwamba sehemu nyingine za Taifa zianze kutumika instead of Majiji pekee.....naomba nipatiwe ufumbuzi tafadhali.....