Gesi imepotea huko Mtwara..

Gesi imepotea huko Mtwara..

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
2,523
Reaction score
208
Wakuu hii ishu ya gesi huko Mtwara mbona imekuwa kimya sana au ndiyo ule usemi wa kuwa sisi ni wazee wa matukio. Tukio likija jipya la mwanzo tunalisahau. Mwenye habari kuhusiana na mambo ya gesi Mtwara atujuze....
 
Usiwe Mvivu wa kutafuta habari Gamba wewe kila kitu unataka utafuniwe wewe umeze tu.....shame
 
Anauliza kitu cha msingi wewe unamrukia. Kama huna majibu kaa kimya!
 
Usiwe Mvivu wa kutafuta habari Gamba wewe kila kitu unataka utafuniwe wewe umeze tu.....shame

JF ni chanzo kizuri tu cha habari. Kama hujui tuliza..... Au ushahamia kwenye tukio jingine we msukule..
 
Wakuu hii ishu ya gesi huko Mtwara mbona imekuwa kimya sana au ndiyo ule usemi wa kuwa sisi ni wazee wa matukio. Tukio likija jipya la mwanzo tunalisahau. Mwenye habari kuhusiana na mambo ya gesi Mtwara atujuze....
Uko darasa la tano au la sita? Kitu unachouliza hata watoto wa darasa la saba wanamajibu sasa wewe vipi.
 
Usiwe Mvivu wa kutafuta habari Gamba wewe kila kitu unataka utafuniwe wewe umeze tu.....shame

Mhe. Wazii Mkuu alipokea shehena ya kwanza ya mabomba bandarini dar na mtwara ambayo yaliwasili kutoka china. Mabomba halo ndo yatatandazwa na wakati huo huo ujensi wa mitambo ya usafishaji gesi itajengwa. Upo hapo. Nadhani na mitambo ya kuzalisha umeme nayo itakuwa ikijengwa ili bomba likikamilika mambo yanaiva na watz wanaanza kunufaika na gesi yao waliyopewa na Mwenyezi Mungu. Bado upo.
 
Njoo maeneo ya kongowe mzinga mabomba yako hapa kibao kama bahari a yanazidi kuja na hapoa mzinga palikuwa na giza sana ila now nikama mchana full taa kama za uwanja wa taifa yani kwa hili ------ yko sirius hapan chezea
 
Kuna kambi zingine kama mbili au tatu kuelejea Lindi, Mtwara mabomba yanaendelea kujazwa!
 
Njoo maeneo ya kongowe mzinga mabomba yako hapa kibao kama bahari a yanazidi kuja na hapoa mzinga palikuwa na giza sana ila now nikama mchana full taa kama za uwanja wa taifa yani kwa hili ------ yko sirius hapan chezea

Asante mkuu, inatia moyo
 
Ebu dondosha hayo majibu hapa nione unachojua we mwanamke.

Siku zote mkumbuke mama yako unapotamka neno hili (red). Asante kwa kumpa heshima mzazi wako. Ubarikiwe kwa kuelewa.
 
Back
Top Bottom