Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 4,393 Reaction score 14,500 Oct 13, 2025 #1 Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya dola vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi wa Oktoba 29 unafanyika kwa hali ya utulivu, haki na amani huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka. Your browser is not able to display this video.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya dola vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi wa Oktoba 29 unafanyika kwa hali ya utulivu, haki na amani huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka. Your browser is not able to display this video.
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 6,212 Reaction score 11,592 Oct 13, 2025 #2 Angalia wanavyohangaika 😂
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,403 Oct 13, 2025 #3 Uchaguzi wa serikali za mitaa24 mlikiri kuwa numeuchezea nani awaamini tena? Mimi sitoenda kupiga kura.
Uchaguzi wa serikali za mitaa24 mlikiri kuwa numeuchezea nani awaamini tena? Mimi sitoenda kupiga kura.
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,346 Reaction score 6,855 Oct 13, 2025 #4 Ataenda kupiga kura yeye na familia yake!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,586 Oct 14, 2025 #5 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,104 Reaction score 1,249,082 Oct 17, 2025 #6 Duh