Gerson Msigwa usimcheke sana Jaffar Haniu kwa Kutumbuliwa kwani hata Wewe muda wowote unatoka hapo na Salim Kikeke wa BBC anakurithi

Kuwa na Heshima kwa Dk. Ayoub Ryoba tafadhali. Huyu ni Mmoja wa Manguli wa Habari nchini Tanzania, anaheshimika, ameshakuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu, amezalisha 65% ya Waandishi wa Habari ulionao sasa Tanzania wenye Bachelors na Masters zao.

Kuhusu Yeye Kuandika nakushauri Siku zingine kama hujui Jambo au huna uhakika nalo jaribu Kuficha Upumbavu unaokusumbua.

Dk. Ayoub Ryoba ameandika sana katika Magazeti ya uhakika huko nyuma miongoni mwa ninayoyakumbuka ni Daily News, The East African na The CITIZEN na Gazeti la Uchambuzi miaka ya nyuma ya la RAI kama sijakosea na alikuwa ni Mkosoaji mkubwa tu.

Sikumbuki ni lini Dk. Ayoub Ryoba amefanya a very boring Interview au aneikosea bali mara zote ameonekana kweli ameiva, ni Nguli na ambaye Waandishi wa Habari wengi wa sasa wana mengi ya Kunifunza Kwake.

Nilichogundua una Chuki nae iliyopitiliza na usipoiacha itakugharimu na hata Kukufanya ukasirike Moyo wako uliojaa Roho Mbaya upasuke na Ufe / Ufariki ghafla. Hujachelewa.....!!!!
Ryoba ni mtu WA theory snaa mtoa mada kaongelea exposure ryoba ameshindwa kulinyanyua shirika au kuleta mawazo mapya yatakayosaidia shirika TBC ya saivi na Alivyoikuta ni tofauti kabisaa Sawa ni chombo cha serikali Ila ndyo Hadi Millard ayoo anakupa habari mapema kuliko wao saivi watu wengi wanaamia online yeye ameshindwa ata kuiga ubunifu WA Millard Ayo au ata ITV au Azam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom